Mwigizaji maarufu Goo Hara ambaye amezaliwa kwenye mji wa Seoul nchini South Korea ameigiza korean drama Kama City hunter, secret love na nyingine nyingi Leo amefariki akiwa na miaka 28.
Mwadada huyu amekuwa akiandamwa na skendo na media nyingi za Korea kitu kilichosababisha apate frustration kikapelekea kujiua nyumbani kwake. Kipindi fulani aliwahi kuwatukana waandishi wa magazeti kwa namna wanavyomuandika.