Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally alipowasili kwa ajili ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza leo Desemba 11, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana kuelekea ukumbini na Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally tayari kwa Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Mwanza leo Desemba 11, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia wajumbe kabla ya kuanza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Mwanza leo Desemba 11, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza leo Desemba 11, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza leo Desemba 11, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Mwanza leo Desemba 11, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Visiwani na Rais Wa Zannzibar na Baraza la Mapinduzi Dkt. Ally mohamed Shein pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza leo Desemba 11, 2019.