Mtoto wa Muigizaji Bruce Lee, Shannon Lee ameushtaki mgahawa wa Real Kung Fu wa nchini #China kwa kutumia picha ya baba yake kwa miaka 15 bila kuwa na kibali. Shannon anataka kulipwa fidia ya $30 milioni (TZS 69 bilioni), na TZS 29 milioni ambazo ni gharama za kesi. 📸