Kuhusu uimbaji wake kufananishwa na Jaydee ambaye alikuwa mama yake wa kambo, Malkia Karen amesema

“Lady Jaydee ni msanii mzuri na ni msanii mkubwa, ni inspiration ya msanii yeyote wa kike hata wa kiume pia, so sidhani kama ni kitu kibaya kabisa kufananishwa naye infact I should be proud" Malkia Karen ameiambia Global Radio