Msanii GNako wa kundi la Weusi lenye makazi yake jijini Arusha mapema jana ameuaga ukapela katika kanisa Katoriki jijini Dar es Salaam.
Wapambe wa maharusi ambao wanaunga kundi la Weusi wakiwa katika picha ya pamoja.
Mashemeji wakiwa wamembeba bibi Harusi.