Ndani ya nafsi na nyoyo za mashabiki wengi, tulitamani kumuona pia mwanadada HAWA NTAREJEA akiwa katika 'Tour' ya kuelekea Kigoma na Naseeb.
Kutokuwepo kwake hakuna maana kuwa tunasema umemdharau au kupuuza mchango wake! Uthamani ulioonesha kwa watu wengine mlio-tofautiana hapo nyuma na kuwasogeza karibu linafanya tusiamini katika hili.
We wish HAWA NTAREJEA angekuwapo bhana! Tume-miss ladha za kipindi kile mlipokuwa pamoja kikazi 😀! Anyway kila la kheri Brother!
By Mdau