Hali ya mzazi au baba yake kanumba yatajwa kuwa mbaya,baada ya kutajwa kusumbuliwa na maradhi ya nyonga,

Baba kanumba akiwa katika hali ya majonzi aomba msaada wa matibabu baada ya hali yake kuzidi kudhorota