Huyu ndie binadamu ambaye ushuzi wake unauwa mbu.. anaitwa Joe Rwamirama, ni mwanaume mwenye miaka 48 raia wa Uganda. Unaambiwa akijamba mbu wote walioko jirani yake hadi umbali wa kilomita 9 wanakufa..

Mwenyewe anakuambia hata nzi hajawahi kumsogelea..

Kwa sasa ameajiriwa na kampuni moja ambayo inataka kutengeneza dawa ya mbu kwa kutumia ushuzi wake...⁣⁣⁣

Kwasasa wanatafiti ni kemikali gani iliyopo kwenye ushuzi wake ambayo inaua mbu ili waitumie kutengeneza dawa ya kuua mbu.

Unaambiwa kijijini kwake hakuna mbu wala mtu ambaye amewahi kuugua malaria