Alipoulizwa sababu ya kuandaa kisomo maalum kumuombea Sharo Milionea na gharama zote kuzibeba yeye ikiwemo kusafirisha wasanii kwenda Tanga, Irene Uwoya amejibu

“Enzi za uhai wa Sharo nilikuwa hata sina ukaribu naye, lakini kwa vile alikuwa msanii mzuri, nikaona siyo vyema kabisa kusahaulika kirahisi namna hiyo, ndiyo maana nikafanya mawasiliano na mama yake. Tukamkumbuka kwa kumfanyia dua nyumbani kwao Tanga,” Uwoya