Huyu ndiye Zuleha mdogo wake Zari ambaye week chache zilizopita Alikamata Headlines za magazeti pamoja na Mitandao ya kijamii akidaiwa kuwa ndiye mtoto wa Kwanzaa wa Zari japo Zari amekuwa akilipinga hilo kwa muda mrefu na kudai ni mdogo wake wa kuzaliwa ..!!!