Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuna baadhi ya media Tanzania azipigi nyimbo zake na zingine zimeanza kumbania kupiga ngoma zake tangu miaka minne nyuma lengo lao ni kumuuwa kimuziki... Lakini Diamond akasisitiza kuwa kumuua yeye kimuziki awawezi labda watoke na roho yake, lasivyo hawatoweza.