Diamond Platnumz Ameandika Haya Katika Ukurasa wake wa Instagram:

"Mama See how much SIERRA LEONE Loves your Son😭😭😭.... 70,000+ STADIUM #SOLDOUT Last Night!.... i can't even Explain how Grateful i am SIERRA LEONE 🇸🇱❤🇸🇱..... GUINNÉ BISSAU we fill LINO CORREIA STADIUM this Saturday Dec 7th🙏🏼.... CAMEROON Douala National stadium Dec 20th 🛸🌍🛸
Kuna Baadhi ya Watanzania Wamezaliwa Kuchukia wakiona Watanzania Wenzao Wanafanikiwa na Kuipa Sifa Nchi...ila hao niachieni Mimi, Nitadeal nao...na Round hii watashusha Viingilio Mpaka viwe shilingi Mia !!...Wambie Jumamosi Dec 7 naujaza Uwanja wa GUINÉ BISSAU... Dec 20th Uwanja wa DOUALA CAMEROON.... half Tareh 25 Dec Naujaza Uwanja wa LAKE TANGANYIKA Stadium KIGOMA!...waje tena kisirisiri kujifunza, kama Walivyokuja ya Dar🙏🏼" Diamond ameandika