Fahamu: Habari zinasema Queen Darleen anaishi Kwenye jumba la kifahari Mbezi Beach ikielezwa mume wake huyo hana pesa za mawazo. Nae Sheikh aliyewafungisha ndoa amethibitisha hilo kwa kukaririwa akisema
“Kwa ambao hamumjui huyu Isihaka hana njaa njaa hata kidogo, yupo vizuri kweli. Mimi mwenyewe kanijengea nyumba kubwa tu tena siyo nyumba ni bonge la mjengo wa thamani kaniweka pale shehe wake nafurahia maisha kwa hiyo msije mkasema ooh kaamua kumuoa Queen Darleen kwa sababu ya umaarufu wa kaka yake Nasibu, hapana,” alisema Shehe Muharami huku akishangiliwa na wageni waalikwa kwenye Maulid ya wanandoa hao
Mke mkubwa nae ametajwa kuwa Kwenye nyumba yake ya kifahari pia