Chid Benz: "@diamondplatnumz ndio Msanii Namba Moja Kwasasa, Wengine Wote Hatuchekani, Ametuzidi Wote na Ndio Ukweli, Ana Redio na Tv yake, Mkigombana anapiga kazi zake kwenye Media Yake Ila wewe utaleta kazi"
"Diamond anatakiwa anicheck tu Tufanye Kazi, Haina haja ya Kunionganisha na Wizkid Nafanya na yeye, Wenyewe wataulizia, Mimi Kwasasa ni Kazi Tu, Yeye tu Mwenyewe tu"
Chid Benz: "Nilishawahi kuambiwa na Mtu kuwa Napendwa Lakini Sifanikiwi kwasababu sijihusishi na Mambo ya Kishetani, Mimi nipo straight Namtegemea Mungu Tu, Kama Kuna kitu wanapata wao wapate Mimi siwezi"
Chid Benz: "imi na Jux Tulishazungumza Yakaisha, Alikuwa anafanya ionekane kama namuonea, Nilizungumza nae Akakubali amekosea Yakaisha"