Mkurugenzi wa Benki ya DTB-Tanzania, Viju Cherian (wa pili kushoto) akiwa ameambatana na Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji wa Benki hiyo, Madhava Murthy (kushoto) wakimwangalia Ayasa Mohamed aliyefika kupata matibabu katika kituo cha matibabu ya bure iliyoandaliwa na Klabu ya Lions kwa udhamini wa benki ya DTB-Tanzania ukiwa ni upimaji wa Macho na Sukari kwa Mwananchi wa eneo la Mbagala Mbande, jijini Dar es salaam, Desemba 8, 2019. Picha na Othman Michuzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DTB-Tanzania, Viju Cherian akiwa ameambatana na Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji wa Benki hiyo, Madhava Murthy, wakikagua kliniki ya utoaji huduma ya afya kwa Wananchi wa eneo la Mbagala Mbande, jijini Dar es salaam. Zoezi hili liliendeshwa Klabu ya Lions kwa udhamini wa Benki ya DTB-Tanzania, Desemba 8, 2019.
Meya wa Temeka, Mstahiki Abdallah Chaurembo akipatiwa vipimo wakati alipotembelea kliniki ya vipimo kwa Wananchi wa wa eneo la Mbagala Mbande, jijini Dar es salaam. huduma hizo zilikuwa zilitolewa na Klabu la Lions kwa udhamini wa Benki ya DTB-Tanzania Desemba 8, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji wa benki ya DTB-Tanzania, Madhava Murthy.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DTB-Tanzania, Viju Cherian akiwa ameambatana na Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji wa Benki hiyo, Madhava Murthy, wakikagua kliniki ya utoaji huduma ya afya kwa Wananchi wa eneo la Mbagala Mbande, jijini Dar es salaam. Zoezi hili liliendeshwa Klabu ya Lions kwa udhamini wa Benki ya DTB-Tanzania, Desemba 8, 2019.
Daktari wa Macho, Ladislaus Ndimila akimuelekeza jambo mmoja wa wanafunzi wenye tatizo la uoni hafifu waliofika kwenye klinini ya utoaji huduma ya afya kwa Wananchi wa eneo la Mbagala Mbande, jijini Dar es salaam, iliyofanyika Shule ya Msingi Mbande,  Desemba 8, 2019. Zoezi hili liliendeshwa Klabu ya Lions kwa udhamini wa Benki ya DTB-Tanzania
Afisa Mawasiliano wa Benki ya DTB-Tanzania, Hadijah Natalia Tuwano akipokea taarifa kutoka kwa mmoja wa wananchi waliofika
kwenye klinini ya utoaji huduma ya afya kwa Wananchi wa eneo la Mbagala Mbande, jijini Dar es salaam, iliyofanyika Shule ya Msingi Mbande,  Desemba 8, 2019. Zoezi hili liliendeshwa Klabu ya Lions kwa udhamini wa Benki ya DTB-Tanzania
Afisa wa Benki ya DTB-Tanzania, Peter Boaz akizungumza na baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye klinini ya utoaji huduma ya afya kwa Wananchi wa eneo la Mbagala Mbande, jijini Dar es salaam, iliyofanyika Shule ya Msingi Mbande,  Desemba 8, 2019. Zoezi hili liliendeshwa Klabu ya Lions kwa udhamini wa Benki ya DTB-Tanzania.
Huduma ya Dawa ikiendelea kutolewa.