Joseph kusaga hatakiwi kuliingilia swala hili kwa sababu wakati wafanya kazi wa redio yake wanafungia kazi zetu yeye alikuwa Dubai kwahiyo hakuwa kazini Siku nyingi alitakiwa kuwauliza kwanza kwanini Walifungia kazi zetu na sio kuwaruhusu tu pigeni kazi za WASAFI ndio maana walipopiga ngoma za Mbosso tukawazuia mpaka watueleze ukweli kwanini walifungia kazi zetu "BabuTale"