"Sasa hivi wanataka kucheza kazi zetu kwenye media zao sasa watueleze nikwanini walikuwa hawachezi kazi Zetu kwenye Media yao...Tunataka watuambie Ukweli tena watanzania wasikie ndio Tutawaruhusu....Kama hawawezi basi kama Mashabiki walitusupoti kwa moyo moja ikiwa kipindi kile kulikuwa hata nguvu ya social network ilikuwa haipo na wala hatukuwa na Media Yetu iweje sasa......Management ya WCB WASAFI ndio bora zaidi Africa Mashariki wala hatukurupuki kwenye kazi ikiwa Raisi wetu Magufuli Kila Siku ananunua mandege,anajenga flyovers,barabara na vingine Vingi tu lakini lawana kila Siku watu wanamtupia iweje sisi makuruta tu."- Babu tale