Msanii AliKiba ametuonesha kile kilichoonekana kama mfano wa Studio na Makao Makuu ya Label yake, Kings Music Records.

Kupitia picha ambazo ameziweka hapa instagram muda mchache uliopita, #KingKiba ameambatanisha na ujumbe usemao 'Soon' yaani hivi karibuni.