Familia ya Mzee Mesiak Mungaya Mollel imeliomba jeshi la polisi pamoja Serikali kuchunguza tukio la Kufariki kwa mtoto wao aliyechukuliwa na balozi pamoja na Mgambo wa kata majira ya saa nane usiku siku ya Ijumaa ambapo inadaiwa walimpiga kijana wao Gerald Mollel na ilipofika siku ya jumanne wakambiwa ameshafariki Dunia hivyo wamepata utata juu ya Kifo hicho

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.