Captain wa BongoFleva Tunda Man, amesema gari la aina 'Land rover Discover 4' alilomnunulia Mke wake, pesa zake zinatokana na michezo ya kubashiri 'Betting'.
Tunda Man ameeleza hayo kupitia E-Newz ya East Africa Television, ambapo gari hilo alimpa kama zawadi katika siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, mwishoni mwa mwezi Julai, 2019.
"Mke wangu alikuwa na ndinga kabla ya kumnunulia, gari linazaidi ya milioni 50 na mkwanja nilioshinda mimi ilikuwa ni Milioni 40, ile pesa ya kubet niliyoshinda niliongezea kama milioni 16 kununua gari na asilimia nyingi ile pesa ya kubet nilimpa mke wangu pia" amesema Tunda Man.
Aidha Tunda Man ameendelea kusema, kuna kipindi mke wake alikuwa hataki awe anacheza michezo hiyo, lakini yeye alikuwa anataka amuoneshe kama michezo hiyo ina faida, ndiyo maana alivyoshinda alimpatia zawadi ya gari.
Volkswagen No D
TSh 3,500,000 - kupatana.com
|
Sponsored
Samsung S6 Edge
TSh 200,000 - kupatana.com
|
Sponsored
Iphone 6 Gb 64
TSh 160,000 - kupatana.com
|
Sponsored
IST for Sale
TSh 7,800,000 - kupatana.com
|
Sponsored
Dubai Investment Properties Might Actually Surprise You
Property Investment | Search Ads
|
Sponsored
Njombe : Pembe yasababisha wanafunzi kudondoka | East Africa Television
Kitu chenye muonekano wa Pembe kilichodaiwa kusababisha wanafunzi kuanguka na kupoteza fahamu wakiwa masomoni, katika Shule ya Msingi Uganga wilayani Makete mkoani Njombe, kimeondolewa shuleni hapo.
EATV
TOP STORIES
CURRENT AFFAIRS
RC Mbeya awatimua Kidato cha 5 na 6 awataka kurudi
ENTERTAINMENT
Seyi Shay ataja orodha ya wanaume alio-date nao
CURRENT AFFAIRS
Kama alivyosema Makonda ''Wameoga'' - Kamwelwe
CURRENT AFFAIRS
CHADEMA yatoa maagizo matatu kuhusu Halima Mdee
MOST POPULAR
ENTERTAINMENT
Esha Buheti ampaka mbovu Yusuph Mlela
CURRENT AFFAIRS
Serikali yawaita wasiokuwa na vyeti vya kuzaliwa
ENTERTAINMENT
'Sisi hatukuwa na taarifa za fujo' - Meneja
CURRENT AFFAIRS
CCM kutoa msimamo wao kuhusu Uchaguzi
SPORT
Fahamu sababu ya Jonas Mkude kuondoka Taifa Stars
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2019 East Africa Television Limited. All Rights Reserved
Njombe : Pembe yasababisha wanafunzi kudondoka | East Africa Television
How To Get In Shape At Home
YogaDesign Lab
|
Sponsored
25 Best City Breaks in the World
Trip Minutes
|
Sponsored
X
About us
Advertise
Jobs
Terms & Conditions
Contact us
Frequently asked questions