Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 24, 991, 134, 200 7, 211, kutoka kwa Mwenyekiti ya Bodi ya Ushauri ya Wakala wa. Huduma za Misitu Misitu Tanzania (TFS) Brigedia Jenerali Msafiiri Mkeremi na Kamishna Mhifadhi wa Wakala hiyo Profesa Dos Santos Silayo kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi mbalimbali iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumapili November 24, 2019.Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango. PICHA NA IKULU.