Kuna mtu jana usiku alitoka ofisini kwake saa nne akapita ukapita kituo cha mafuta kuweka mafuta, akatokea mtu akampa kipeperushi jamaa akapokea na kutupia kwenye gari, lakini muuzaji wa mafuta akamuonya kwamba asipende kupokea vipeperushi ni hatari kwa usalama wake.

Kweli baada ya kutoka tu kituo cha mafuta akaanza kushindwa kuona, macho yakiwa mazito sana, kidogo agonge, alichokumbuka ni kugeuza kurejea kituo cha mafuta na alipofika tu akafungua mlango na kutoka akiwa hoi tayari, na yule muuzaji akawa amepiga simu polisi wa doria ndiyo kufika na kumsaidia.

Leo nimepokea ushuhuda wa mhusika umenitisha sana.

Kuna mtindo wa wizi umebuniwa, either kituo cha mafuta au nje ya hapo, kuna watu wanagawa vipeperushi kwa madereva, inaonekana vina madawa, ukikiweka kwenye gari unalewa na kusinzia in a matter of minutes... 

CHUKUA TAHADHARI KABLA YA AJALI