Kufuatia kwa headlines za vurugu za mchekeshaji Ebitoke mbele ya mwigizaji Yusuph Mlela siku kadhaa zilizopita, sasa Shilole kafunguka kwenye Ayo TV na millardayo.com kazungumza haya.