Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania Mhe.CHO Taeick wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04 Nov 2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania Mhe.CHO Taeick wakati alipofika kwa mazungumzo Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 04 Nov 2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitambulishwa kwa Maafisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania waliofuatana Balozi Mhe.CHO Taeick (katikati) kabla ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04 Nov 2019
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania Mhe.CHO Taeick baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04 Nov 2019.