|
Pozi la Furaha... Pichani ni Diamond akiwa kitandani na Mwanae Naseeb Junior |
Mkurugenzi wa Wasafi Media na lebo ya muziki ya wasafi,Diamond Platnumz ameonyesha rasmi sura ya mtoto wake wa nne aliyezaa na Mwanadada Tanasha Donna kutoka nchini Kenya, Jana alifanya sherehe ya Arobaini ya mtoto huyo nyumbani kwake Madale ambayo ilihuzuriwa na Mastaa mbali mbali kutoka Tanzania