Waheshimiwa Wabunge wakipitia tablets walizopewa na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kuwasidia katika matumizi ya shughuli za Bunge na kuondoa matumizi ya karatasi.
Waheshimiwa Wabunge wakipitia tablets walizopewa na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kuwasidia katika matumizi ya shughuli za Bunge na kuondoa matumizi ya karatasi.
Afisa Ugavi Msaidizi, Ndg. Tatu Kwayu akimkabidhi tablet Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madraka ya Bunge, Mhe. Emmanuel Mwakasaka zoezi lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kamati za Bunge, Ndg. Michael Chikokoto (kulia) akimkabidhi tablet Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Mhe. Richard Ndassa wakati wa ugawaji wa tablets kwa Wabunge wote zoezi lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza wakati wa zoezi la kuwapatia Waheshimiwa Wabunge tablets kwa ajili ya kuwasaidia katika matumizi ya shughuli za Bunge lengo likiwa ni kuondoa matumizi ya karatasi. Zoezi hilo limefayika siku moja kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Adrew Chenge (Mb).
Waheshimiwa Wabunge wakipitia tablets walizopewa na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kuwasidia katika matumizi ya shughuli za Bunge na kuondoa matumizi ya karatasi.