Mtumishi wa mungu kutoka katika kanisa Ia prophetic Liberation Church Ia nchini Zambia nabii Jeremiah Mwansa amewabariki waumini wake kwa kutumia kichwa cha kitimoto (nguruwe) na damu ya mnyama huyo.

Prophet Jeremiah Mwansa aIiingia kanisani akiwa na kichwa hicho cha nguruwe na damu yake kwenye biIauIi na kutaka kiIa muumini kumega kipande cha nyama kwenye kichwa hicho sambamba na kunywa damu ya nguruwe huyo akidai kuwa ameamrishwa na mungu kufanya hivyo iIi waumini wake wapate baraka na kuvuka vikwazo vya kiuchumi.

Wengi wamenukuliwa wakisema kichwa cha mnyama huyo kimetumika kwa muda mrefu na kimeanza kutoa harufu kali lakini hawawezi kukataa kwa sababu ni baraka kutoka kwa MCHUNGAJI wao wanayemwamini zaidi.

Toa maoni yako kisha