Hayo ameyasema mchana wa leo baada ya binti huyo kutembelewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii), Dk. John Kingu ambapo aliahidiwa kusaidiwa na serikali mpaka malengo yake yatakapo kamilika.



Kauli hiyo aliirudia tena baada ya kutembelewa na Msanii wa muziki wa Asili, Mrisho Mpoto, muigizaji Batuli pamoja na Walu Sengo.