ALIYEKUWA rais wa klabu ya Simba Evans Aveva na makamu wake, Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu, wameachiwa huru kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatia kutupilia mbali mapingamizi yaliyowasilishwa na upande wa serikali kupinga 
Wasipate dhamana.