Star wa filamu za Bongomovies Diana Kimaro ambaye muda mrefu sasa yupo nchini Marekani, amekaririwa akisema maisha nchini humo yamemshinda anataka kurudi Bongo kwani amewa-miss sana mama'ke na mashoga zake wa Kibongo