VIDEO: Mashabiki wa Yanga wakosa uvumilivu, wampiga Zahera na chupa

VIDEO: Mashabiki wa Yanga wakosa uvumilivu, wampiga Zahera na chupa

Baada ya Yanga SC kupoteza kwa kufungwa kwa goli 2-1 dhidi ya Pyramids FC katika mchezo wa Play Off wa kuwania kucheza Makundi ya Kombe la Shirikisho katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, baada ya mechi mashabiki wa Yanga walionekana kuanza kumpiga kocha wao Mwinyi Zahera kwa kumrushia chupa za maji.