Tyga Asaini Dili La Mamilioni Na Lebo Mpya Ya Muziki

Tyga Asaini Dili La Mamilioni Na Lebo Mpya Ya Muziki

Tyga ameripotiwa kusaini dili la mamilioni ya dola na Label ya Columbia Records. Label hiyo imetoa taarifa hiyo jana (October 15) na kumfanya rapper huyo kuungana na wakali kama Lil Nas X, Polo G na wengine kibao.

Tyga Asaini Dili La Mamilioni Na Lebo Mpya Ya Muziki

Hii sio mara ya kwanza kwa Tyga kusaini dili na label hiyo, mwaka 2000 mpaka 2015, Tyga alisainiwa akiwa chini ya Young Money & Cash Money