Travis Scott Ataka Kufanyiwa Upasuaji (VIDEO)
Rapper Travis Scott alivunjika goti wiki iliyopita katika jukwaa la Rolling Loud mjini New York, mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Travis anahitaji kufanyiwa upasuaji.
Imeripotiwa kuwa rapper huyo ameenda kuonana na daktari wa mifupa Dr. Neal ElAttrache, ambapo Daktari huyo amempa siku chache za kujitazama kama anaweza kupona pasina upasuaji kitu ambacho hakubaliani nacho, Travis anataka upasuaji ili arejee kwenye steji mapema.