RC Makonda “Sijaona Mbunge yeyote, wamehamia Twitter, wanaroga nitoke (+video)

RC Makonda “Sijaona Mbunge yeyote, wamehamia Twitter, wanaroga nitoke (+video)

Mkuu wa Mkoa wa DSM leo October 29, 2019 “Nilimuambia Rafiki yangu mmoja hivi umechaguliwa na Twitter au na Kata na Jimbo lako?, juzi Rais kasema natoa fedha, bila nidhamu wanajibu tulikuwa nazo kwenye Bajeti, hakuna kitabu kilichotoka Ubungo cha Bajeti kikisema kimetenga Billion 1.5 za Hospitali ya Wilaya”-RC Makonda