Hii Ndio Picha ya Msanii wa Bongoflava @mimi_mvrs11 Ambayo Ina Trend kwa Sasa Mitandaoni, HAPA alikuwa Nchini Kenya katika uzinduzi wa Filamu iitwayo **YOU AGAIN ambapo nayeye Ameigiza Pia... JE KUNA TATIZO GANI KATIKA PICHA HII??