STAA wa muziki nchini Marekani Chris Brown ni muda mrefu ajaingia kwenye top 5 ya chart za Billboard Hot 100, mara ya mwisho Chris Brown kuingia top 5 ya chart za Billboard Hot 100 ilikuwa ni mwaka 2008 kupitia ngoma yake ya Forever.Ngoma ya “No Guidance” ikiwa ameshirikana na Drake imefanikiwa kumrudisha Chris Brown kwenye chart za Billboard Hot 100 na kushika nafasi ya namba tano ndani ya wiki hii .