Muigizaji wa filamu na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema kuwa kwa sasa anatamani zaidi kuzaa kuliko kuolewa kwani ndoa ni majaaliwa tu.

Wema akiongea na Bongo5, Amesema kuwa wanawake wengi kwa sasa wanalilia ndoa ila yeye anacholilia kwa sasa ni mtoto.