LUKAMBA wa Diamond Afunguka kuwa Zari Alikuwa Anamkera Sana kwakuwa Alikuwa ana Muamsha Asubuhi Sana ili Ampige PICHA za Kupost Insta , Lukamba amejibu hivyo  baada ya kuulizwa swali kuwa yupi katika Wanawake wa Diamond alikuwa anakukera