Wasafi News leo imemtembelea Mbosso na kupiga nae story kibao. Mbosso ajibu kuhusiana na Msichana anaeitwa Munira ambaye ametoka Mombasa Kenya na Kuja hapa Tanzania kwaajili ya Mbosso na anataka kuwa nae kimapenzi. Pia afunguka kuhusiana na picha za marehemu Martha alizoziweka nyumbani kwake.

VIDEO: