Ameandika Gigy Money

"Mimi Gift Stanford Mwakyusa nasema nikiwa na akili zangu timamu NAMPENDA YESU🙏 Na msiige kuvaa nguo za kuogelea tu na kunywa pombe za gharama muige Na kumcha Mungu ❤️💪 natafuta rafiki"-GIGY MONEY