Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo OKtoba 29,2019 katika Ukumbi wa TAMISEMI Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)