Kamanda azungumza “Idris Sultan ajisalimishe Polisi tunamtafuta”

Kamanda azungumza “Idris Sultan ajisalimishe Polisi tunamtafuta”

“Tunamtafuta, tunaendelea kumtafuta Idris Sultan, aende Kituo cha Polisi aripoti kwamba najisalimisha nasikia mnanitafuta halafu ataelezwa anachotafutiwa ni nini” – ni maneno ya RPC Kinondoni leo October 31, 2019