Amefunguka Jack Wolper

"Hili suala la wanafunzi kupata mimba siwezi kuongelea sana sababu kuna wanafunzi wanawashwa washwa, pia kuna wanaofanya ili kujisaidia wao na wazazi wao kutokana na ugumu wa maisha, sasa wanafunzi wanowashwa waazibiwe lkn hao wengine waangaliwe jinsi ya kusaidiwa"-Jack Wolper.