"Hakuna kitu kinachoniuma kama kutukaniwa mwanangu huwa naumia sana inafikia kipindi naogopa kumpost mitandoni japo Krish mwenyewe huwa nachukia nisipopost picha yake"
Ameyasema hayo UWOYA alipoojiwa na Zamaradi