Idris Sultan aachiwa na Polisi, Wakili asema kesho anahitajika Kituoni (+video)
Idris Sultan aachiwa na Polisi, Wakili asema kesho anahitajika Kituoni (+video)
Msanii Idris Sultan ameachiwa kwa dhamana usiku huu muda mfupi baada ya kurejea kituoni akitokea nyumbani kwake na Polisi ambao waliongozana nae na kwenda kufanya upekuzi anapoishi, Wakili wa Msanii huyo Benedict Ishabakaki amethibitisha kuachiwa kwake