Wanahabari wa nchini Kenya, wamekasirika baada ya Mwanamuziki kutoka Tanzania, Harmonize kuwapa dakika 3 za mahojiano.

Mwanamuziki huyo aliyeachia kibao kipya kinachokwenda kwa jina la Uno anafanya ziara kwenye vituo vya redio na televisheni kwa nchi tatu za Afrika Mashariki

Mahojianao hayo yalifanyika kwa haraka licha ya kuwa yameahirishwa mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali. Mwanamuziki huyo alifika katika ukumbi wa kuzungumza na Wanahabari akiwa ameongozana na walinzi wake waliowasukuma watu