Harmonize Afungua Mgahawa Unaotembea wa Chakula cha Bure “Siku Hizi Naongea Sana, Mimi Mbunge Mtarajiwa” (+Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize leo Oktoba 20, 2019 amefungua mgahawa wake unaotembea wa KONDE BOY MGAHAWA ambao utatoa huduma ya chakula bure kwa watu wenye uhitaji.