Harmonize 2019
huu umekua mwaka wa bahati sana kwa msanii kutoka tanzania anaejuliana kama harmonize au konde boy jeshi ambaye amefanya kazi nyingi na kubwa ambayo amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na juhudi zake zimepelekea kupata matunda mengi kama kupata nafasi ya kutumbuiza show katika nchi mbali mbali na kama haitoshi kuchaguliwa kuwania katika tuzo za mtv music awards 2019.