"Sio kila Muimbaji anaimba nyimbo za Injili hata kama anaitwa mwimbaji wa nyimbo za Injili, maana ukizungumza nyimbo za dini ni nyimbo zinazohusu dini fulani na nyimbo za Injili ni nyimbo zote zinazo ongelea habari zote ziletazo wokovu,"-Goodluck Gozbert.