Dudu baya awachana Mwijaku na Menina “Hakuna bahati mbaya wamefanya makusudi” – Video
Msanii na mlongwe wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini alimaarufu Dudubaya amefunguka mengi sana kuhusu tukio la kusambaa kwa picha za utupu za Menina ambazo zinadaiwa kusambazwa an Mwijaku.